Sunday, June 11, 2017

KARIBUNI KIDATO CHA TANO 2019

LEO TAREHE 5/6/2019 UONGOZI WA SHULE YA NYERERE HIGH SCHOOL - MIGOLI UNAPENDA KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO MWAKA 2019. FOMU YETU INAPATIKANA KWENYE UBAO WA MATANGAZO WA BLOGU YETU, UNAWEZA KUIPAKUA BILA SHIDA.
 KARIBUNI SANA NYERERE HIGH SCHOOL - MIGOLI

Monday, May 29, 2017

MATUKIO YA PICHA YA KIKAO CHA WAZAZI CHA TAREHE 20/5/2017 NYERERE HIGH SCHOOL - MIGOLI

Wazazi na walezi wakionyeshwa mipaka ya shule mara baada ya kumaliza mgogoro wa ardhi uliochangiwa na wazazi na walezi


Wazazi wakielekea kuangalia ujenzi wa nyumba 10 za walimu ulioanzishwa na walimu na wanafunzi


Moja ya nyumba 5 za familia mbili za walimu iliyokamilika kwa hatua ya awali ikitazamwa na wazazi




Wazazi wakipita ndani na kukagua ujenzi wa nyumba ya walimu



Muonekano wa mbele wa Nyumba ya walimu


Wazazi wakielekea kushiriki Parade na wanafunzi na walimu










Wanafunzi wakiwa Parade


Wazazi na viongozi wakionyeshwa mashine ya nakala walioichangia kwa ajili ya mitihani hapa shuleni



Mkuu wa shule akiwaelekeza wazazi na walezi namna mashine mpya inavyofanya kazi ambayo ilichangiwa na wazazi







Bendi ya shule ikifanya kazi yake wakati wa parade ya pamoja kati ya wanafunzi, wazazi na walimu







Nyimbo ya Taifa ikiimbwa na wanafunzi, walimu, na wazazi











Mkuu wa shule na viongozi wa serikali ya wanafunzi wakiwa mbele kuongoza Parade











Scout wakiwa tayari kuonyesha ukakamavu mbele ya wazazi





HP na Head Girl wakiwawakilisha wanafunzi kuwakaribisha wazazi na walezi

Monday, June 27, 2016

KIDATO CHA TANO MWAKA 2016

Habari, Uongozi wa shule ya Nyerere High School unapenda kuwakaribisha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2016/2017. Pia tunapenda kuwajulisha kuwa fomu yetu ya joining inapatikana pia kwenye blog yetu sehemu ya ubao wa matangazo. Karibuni sana Nyerere High School.

Tuesday, April 12, 2016

HABARI, 
SHULE YA NYERERE HIGH SCHOOL INATARAJIA KURUDI TENA KATIKA BLOG YAKE HIVI KARIBUNI POLENI KWA USUMBUFU WA KUTUKOSA HEWANI, AHSANTE

Thursday, July 2, 2015

KARIBUNI NYERERE HIGH SCHOOL WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO 2015/2016

Habari,
Uongozi wa shule ya Nyerere High school unapenda kuwakaribisha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2015/2016.
Pia tunapenda kuwajulisha kuwa fomu ya maelezo ya kujiunga inapatikana kwenye blog yetu kwenye ubao wa matangazo (ANNOUNCEMENT)
Kama unatumia simu inabidi ufungue blog yetu kisha ushuke chini kwenye ukurasa wa blog hiyo ubadili mtazamo toka wa simu kuwa wa kompyuta kwa kufungua ''view web version''
KARIBUNI SANA NYERERE HIGH SCHOOL - MIGOLI MPATE ELIMU BORA.

Wednesday, January 7, 2015

UONGOZI WA SHULE YA NYERERE HIGH SCHOOL UNAPENDA KUOMBA RADHI KWA KUTOKUWA HEWANI KATIKA BLOG YETU KWA KIPINDI CHA MWISHO WA MWAKA 2014 KUTOKANA NA MATATIZO YA KIUFUNDI. KWA SASA TUTAKUWA HEWANI KAMA KAWAIDA.
TUNAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2015.
Designed by: Hatibu Juma, Email: hatibu.jayjay@gmail.com, Cell phone: +255 755 638 028.