Mkuu wa shule akiwa na mwalimu wa bweni na mtaaluma akitoa nasaha zake kwa wanafunzi wa kidato cha sita kuhusiana na maandalizi ya mitihani yao ya mwisho |
Mkubwa na wanawe wa kidato cha sita katika picha ya pamoja baada ya nasaha |
Mkuu wa shule na wanafunzi wa kidato cha sita katika pozi |
Wanafunzi wakiwa na mkuu wa shule katika kiunga cha shule |
Mkubwa na wanawe katika pozi |
Mkuu wa shule akiwa na wanafunzi wa kike wa kidato cha nne |
Raha ilioje baba na wanawe katika picha ya pamoja |
Pozi mbalimbali kutoka kwa wanafunzi wa kidato cha nne |
Mkuu wa shule akiwa na wanafunzi wa kiume wa kidato cha nne |
Mkubwa na wanaweeeeeeeee |
Wanafunzi wa kidato cha nne katika picha ya pamoja |
Wanafunzi wa kidato cha nne wakiendelea kujivinjari katika mandhari nzuri ya shule |
Hawa ndio taifa la kesho kupendeza ni jadi yao wakiwa mazingira yetu. |
No comments:
Post a Comment