Sunday, June 11, 2017

KARIBUNI KIDATO CHA TANO 2019

LEO TAREHE 5/6/2019 UONGOZI WA SHULE YA NYERERE HIGH SCHOOL - MIGOLI UNAPENDA KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO MWAKA 2019. FOMU YETU INAPATIKANA KWENYE UBAO WA MATANGAZO WA BLOGU YETU, UNAWEZA KUIPAKUA BILA SHIDA.
 KARIBUNI SANA NYERERE HIGH SCHOOL - MIGOLI

7 comments:

  1. Bora yenu Nyerere mnakaribisha mapemaaaa shule zingingine hatujaona bado@

    ReplyDelete
  2. Bora yenu Nyerere mnakaribisha mapemaaaa shule zingingine hatujaona bado@

    ReplyDelete
  3. Oy wadau naomben mn2mie hiyo blog ya shule

    ReplyDelete
  4. Naombeni nitumieeni joining instructions wakuuu nimechaguliwa apo

    ReplyDelete
  5. naombeni join instruction nimechaguliwa kujiunga na nyerere high school migoli.

    ReplyDelete

Designed by: Hatibu Juma, Email: hatibu.jayjay@gmail.com, Cell phone: +255 755 638 028.