Friday, February 21, 2014

UJENZI WA BWENI LA WAVULANA WAZIDI KUPAMBA MOTO KATIKA SHULE YETU KWA USIMAMIZI WA MKUU WA SHULE NA KAMATI YA UJENZI

Bweni la wavulana kwa muonekano wa mbele


Muonekano wa Korido

Muonekano wa nyuma wa bweni la wavulana

Bweni likisubiri hatua ya kupauliwa hivi karibuni

Bweni likionekana kwa mbali

Sehemu ya bafu na choo nayo ipo hatua ya mwisho

Milango ya vyoo na bafu vya bweni hili


Usingizi ni muhimu kwa wanafunzi wetu na hapa ndio pa kujidaiaaaaaa

Tunawashukuru wafadhili na wazazi kwa ushirikiano wanaouonyesha kwa wanafunzi wetu, Nyerere sekondari inawapenda sana


Wednesday, February 12, 2014

MKUU WA SHULE AKIGAWA ZAWADI MBALIMBALI KWA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KATIKA MASOMO YAO YA MWAKA 2013

Mwanafunzi aliyeongoza kwa ufaulu kwa mwaka 2013 akiwa kidato cha kwanza akipata zawadi zake kutoka kwa mkuu wa shule.

Zoezi la ugawaji wa zawadi wafaulu likiendelea kutoka kwa mkuu wa shule na ofisi ya taaluma.

Wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2013 walioongoza kwenye ufaulu wa masomo yao wakiwa wamekumbatia zawadi zao.


Wanafunzi wa kidato cha pili nao hawakuwa nyuma katika kujipatia zawadi zao baada ya kufanya vizuri ktk mtihani taifa wa kidato cha pili mwaka 2013.

Kazi ya ugawaji zawadi ikiendelea kwa wanafunzi wa kidato cha pili.

Waliofanya vizuri katka masomo mbalimbali katika mtihani wa taifa wa kidato cha pili wakiwa na zawadi zao.

Kidato cha tatu mwaka 2013 nao hawakubaki nyuma katika upokeaji wa zawadi baada ya kufanya vizuri.

Hongera sana ndilo neno lililotawala kwa wanafunzi hawa huku wakifurahia zawadi zao.


Wanafunzi wa kike walikuwa vinara kaitka ufaulu hasa kwa kidato cha tatu mwaka 2013, Wakiwezeshwa kweli wanaweza.

Pia wanafunzi wa kidato cha tano hawakuwa mbali katika kuzipokea zawadi hizo ambazo zimeonge hari ya wanafunzi kujisomea kwa bidii katika masomo yao.

Pongezi kutoka walimu wao wa masomo inatia hamasa kubwa kwa walimu na wanafunzi pia.

"Ahsante mkuu nitaongeza juhudi zaidi" ni neo la mwanafunzi mara baada ya kuwa mmoja wa wafaulu, kweli ni raha tupu ukiwa Nyerere High School - Migoli.

Sunday, February 2, 2014

MKUU WA SHULE AKIZUNGUMZA NA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA NA CHA NNE

Mkuu wa shule akiwa na mwalimu wa bweni na mtaaluma akitoa nasaha zake kwa wanafunzi wa kidato cha sita kuhusiana na maandalizi ya mitihani yao ya mwisho

Mkubwa na wanawe wa kidato cha sita katika picha ya pamoja baada ya nasaha

Mkuu wa shule na wanafunzi wa kidato cha sita katika pozi

Wanafunzi wakiwa na mkuu wa shule katika kiunga cha shule

Mkubwa na wanawe katika pozi

Mkuu wa shule akiwa na wanafunzi wa kike wa kidato cha nne

Raha ilioje baba na wanawe katika picha ya pamoja

Pozi mbalimbali kutoka kwa wanafunzi wa kidato cha nne

Mkuu wa shule akiwa na wanafunzi wa kiume wa kidato cha nne

Mkubwa na wanaweeeeeeeee

Wanafunzi wa kidato cha nne katika picha ya pamoja

Wanafunzi wa kidato cha nne wakiendelea kujivinjari katika mandhari nzuri ya shule

Hawa ndio taifa la kesho kupendeza ni jadi yao wakiwa mazingira yetu.

Designed by: Hatibu Juma, Email: hatibu.jayjay@gmail.com, Cell phone: +255 755 638 028.