Friday, January 10, 2014

WANAFUNZI WAKIWA SHULENI

Wanafunzi wa kidato cha sita katika katika picha ya pamoja.

Wanafunzi wa kidato cha sita wakiwa katika pozi chini ya mti wenye hewa safi


Wanafunzi wa kidato cha tatu wakiwa darasani



Wanafunzi wa kidato cha sita wakijisomea darasani



Viongozi wastaafu wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya jengo la utawala
Wanafunzi wa kidato cha kwanza wakionyeshwa mipaka na mazingira ya shule mara baada kuripoti shule

Wanafunzi wa kidato cha kwanza wakijiandaa kwa gwaride



Wanafunzi wa kidato cha kwanza wakiwa katika gwaride kakamavu



2 comments:

  1. habari, mimi naomba kuuliza mbona matokeo ya miaka mingine kuanzia 2015 hamjaupload?

    ReplyDelete

Designed by: Hatibu Juma, Email: hatibu.jayjay@gmail.com, Cell phone: +255 755 638 028.