| Bweni la wavulana kwa muonekano wa mbele |
| Muonekano wa Korido |
| Muonekano wa nyuma wa bweni la wavulana |
| Bweni likisubiri hatua ya kupauliwa hivi karibuni |
| Bweni likionekana kwa mbali |
| Sehemu ya bafu na choo nayo ipo hatua ya mwisho |
| Milango ya vyoo na bafu vya bweni hili |
| Usingizi ni muhimu kwa wanafunzi wetu na hapa ndio pa kujidaiaaaaaa |
| Tunawashukuru wafadhili na wazazi kwa ushirikiano wanaouonyesha kwa wanafunzi wetu, Nyerere sekondari inawapenda sana |
No comments:
Post a Comment