| Mkuu wa shule akiwa na mwalimu wa bweni na mtaaluma akitoa nasaha zake kwa wanafunzi wa kidato cha sita kuhusiana na maandalizi ya mitihani yao ya mwisho |
| Mkubwa na wanawe wa kidato cha sita katika picha ya pamoja baada ya nasaha |
| Mkuu wa shule na wanafunzi wa kidato cha sita katika pozi |
| Wanafunzi wakiwa na mkuu wa shule katika kiunga cha shule |
| Mkubwa na wanawe katika pozi |
| Mkuu wa shule akiwa na wanafunzi wa kike wa kidato cha nne |
| Raha ilioje baba na wanawe katika picha ya pamoja |
| Pozi mbalimbali kutoka kwa wanafunzi wa kidato cha nne |
| Mkuu wa shule akiwa na wanafunzi wa kiume wa kidato cha nne |
| Mkubwa na wanaweeeeeeeee |
| Wanafunzi wa kidato cha nne katika picha ya pamoja |
| Wanafunzi wa kidato cha nne wakiendelea kujivinjari katika mandhari nzuri ya shule |
| Hawa ndio taifa la kesho kupendeza ni jadi yao wakiwa mazingira yetu. |
No comments:
Post a Comment