Monday, May 29, 2017

MATUKIO YA PICHA YA KIKAO CHA WAZAZI CHA TAREHE 20/5/2017 NYERERE HIGH SCHOOL - MIGOLI

Wazazi na walezi wakionyeshwa mipaka ya shule mara baada ya kumaliza mgogoro wa ardhi uliochangiwa na wazazi na walezi


Wazazi wakielekea kuangalia ujenzi wa nyumba 10 za walimu ulioanzishwa na walimu na wanafunzi


Moja ya nyumba 5 za familia mbili za walimu iliyokamilika kwa hatua ya awali ikitazamwa na wazazi




Wazazi wakipita ndani na kukagua ujenzi wa nyumba ya walimu



Muonekano wa mbele wa Nyumba ya walimu


Wazazi wakielekea kushiriki Parade na wanafunzi na walimu










Wanafunzi wakiwa Parade


Wazazi na viongozi wakionyeshwa mashine ya nakala walioichangia kwa ajili ya mitihani hapa shuleni



Mkuu wa shule akiwaelekeza wazazi na walezi namna mashine mpya inavyofanya kazi ambayo ilichangiwa na wazazi







Bendi ya shule ikifanya kazi yake wakati wa parade ya pamoja kati ya wanafunzi, wazazi na walimu







Nyimbo ya Taifa ikiimbwa na wanafunzi, walimu, na wazazi











Mkuu wa shule na viongozi wa serikali ya wanafunzi wakiwa mbele kuongoza Parade











Scout wakiwa tayari kuonyesha ukakamavu mbele ya wazazi





HP na Head Girl wakiwawakilisha wanafunzi kuwakaribisha wazazi na walezi

1 comment:

  1. Nyerere
    High
    School nitaikumbuka
    Sana Katika Maisha Yangu Kwani MR. Lauren Manga Alitupa Njia Nzuri Na Bora Sana Mkuu Wa Shule Hongera Dana

    ReplyDelete

Designed by: Hatibu Juma, Email: hatibu.jayjay@gmail.com, Cell phone: +255 755 638 028.