Mkuu wa shule Akiongoza Zoezi la upandaji Miti shuleni.
Wanafunzi wakijituma kupanda Miti
Kazi ikiendelea...
Wakimwagilia Miche.
Mwalimu wa mazingira naye hayuko nyuma..
Wanafunzi wakiwa na zana zao.
Umoja ni nguvu.
Mche ukimwagiliwa kwa Maji ya kutosha kabisa...
Hakika hakuna mche utakao nyauka.
No comments:
Post a Comment