Habari,
Uongozi wa shule ya Nyerere High school unapenda kuwakaribisha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2015/2016.
Pia tunapenda kuwajulisha kuwa fomu ya maelezo ya kujiunga inapatikana kwenye blog yetu kwenye ubao wa matangazo (ANNOUNCEMENT)
Kama unatumia simu inabidi ufungue blog yetu kisha ushuke chini kwenye ukurasa wa blog hiyo ubadili mtazamo toka wa simu kuwa wa kompyuta kwa kufungua ''view web version''
KARIBUNI SANA NYERERE HIGH SCHOOL - MIGOLI MPATE ELIMU BORA.
Thursday, July 2, 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)
Designed by: Hatibu Juma, Email: hatibu.jayjay@gmail.com, Cell phone: +255 755 638 028.