Habari, Uongozi wa shule ya Nyerere High School unapenda kuwakaribisha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano 2016/2017. Pia tunapenda kuwajulisha kuwa fomu yetu ya joining inapatikana pia kwenye blog yetu sehemu ya ubao wa matangazo. Karibuni sana Nyerere High School.