![]() |
Wazazi na walezi wakionyeshwa mipaka ya shule mara baada ya kumaliza mgogoro wa ardhi uliochangiwa na wazazi na walezi |
![]() |
Wazazi wakielekea kuangalia ujenzi wa nyumba 10 za walimu ulioanzishwa na walimu na wanafunzi |
![]() |
Moja ya nyumba 5 za familia mbili za walimu iliyokamilika kwa hatua ya awali ikitazamwa na wazazi |
![]() |
Wazazi wakipita ndani na kukagua ujenzi wa nyumba ya walimu |
![]() |
Muonekano wa mbele wa Nyumba ya walimu |
![]() |
Wazazi wakielekea kushiriki Parade na wanafunzi na walimu |
![]() |
Wanafunzi wakiwa Parade |
![]() |
Wazazi na viongozi wakionyeshwa mashine ya nakala walioichangia kwa ajili ya mitihani hapa shuleni |
![]() |
Mkuu wa shule akiwaelekeza wazazi na walezi namna mashine mpya inavyofanya kazi ambayo ilichangiwa na wazazi |
![]() |
Bendi ya shule ikifanya kazi yake wakati wa parade ya pamoja kati ya wanafunzi, wazazi na walimu |
![]() |
Nyimbo ya Taifa ikiimbwa na wanafunzi, walimu, na wazazi |
![]() |
Mkuu wa shule na viongozi wa serikali ya wanafunzi wakiwa mbele kuongoza Parade |
![]() |
Scout wakiwa tayari kuonyesha ukakamavu mbele ya wazazi |
![]() |
HP na Head Girl wakiwawakilisha wanafunzi kuwakaribisha wazazi na walezi |