Bweni la wavulana kwa muonekano wa mbele |
Muonekano wa Korido |
Muonekano wa nyuma wa bweni la wavulana |
Bweni likisubiri hatua ya kupauliwa hivi karibuni |
Bweni likionekana kwa mbali |
Sehemu ya bafu na choo nayo ipo hatua ya mwisho |
Milango ya vyoo na bafu vya bweni hili |
Usingizi ni muhimu kwa wanafunzi wetu na hapa ndio pa kujidaiaaaaaa |
Tunawashukuru wafadhili na wazazi kwa ushirikiano wanaouonyesha kwa wanafunzi wetu, Nyerere sekondari inawapenda sana |